Unajua ni nini cha kikawaida kati yako na Jeff Bezos, Mark Zuckerberg, Bill Gates, Mukesh Ambani, Warren Buffett? Rasilimali ya kikawaida ambayo mnayo wote sawa ni MUDA. Kila mmoja amepewa MUDA sawa kama mwenzake. Hakuna aliyependelewa. Wote mna sekunde 86,400 kwenye siku moja.
Angalia, Jinsi Ilivyorahisi Kuokoa Muda Wako.