Je Unataka Kuwa Tajiri na Hujui Wapi Pa Kuanzia?
*Je Unataka Kuwa Tajiri na Hujui Wapi Pa Kuanzia?*
Rafiki yangu kama jibu lako ni ndio changamoto zako ni mbili tu! ambazo ni HUJIAMINI na UMEJIKATIA TAMAA.
Yaani imefikia mahali ukisikia na kuwaona Matajiri unaona ni watu special sana.
Yaani unaamini ni watu wa kipekee sana.
Na haujaishia hapo tu imefikia mahali unaamini waliotajirika ni watu wenye bahati sana.
Huku ukijichukulia huna bahati kabisa yaani hauamini kabisa kama na wewe utakuwa tajiri miaka ijayo.
Kwa ufupi umejikatia tamaa na kuridhika kabisa na hali yako.
Rafiki haijalishi kwasasa unamaisha duni kiasi gani, na haijalishi una umri gani ninachataka kukuambia hapa.
Uwezo wa wewe kuwa Tajiri upo ndani yako kabisa.
Na kama unataka uelewe hiki ninachokuambia,
...wewe kuanzia leo jifanye mjinga halafu anza kuziishi kwa msimamo leo hizi hatua 12 ambazo zipo ndani ya kitabu hiki kipya cha *MTAALA WA UTAJIRI*.
Na hakika utaanza kujenga utajiri wako ukiwa na amani na furaha.
Kama bado hujakipata fungua hapa *https://wa.link/v0smop*.
Na Ujumbe Huu Umeandikiwa na Rafiki Yako Anayejali Mafanikio Yako.
Bwana AmiriRamadhani,
Ni |Copywriter||DigitalMarketing||SalesConsultant|