Chuo Kikuu Cha Mauzo Tanzania.
Chuo Kikuu Cha Mauzo Tanzania.
Rafiki Yangu Mkubwa,
Karibu Sana, Kwenye Chuo Hiki Cha Mauzo Tanzania.
Kuwa huru kabisa kwasababu unastahili kuwa hapa.
Na pia napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza sana,
Rafiki Yangu, kwa maamuzi sahihi uliyofanya ya kujiunga na CHUO HIKI CHA MAUZO TANZANIA.
Hakika ni Chuo ambacho kinakwenda kukuletea mapinduzi makubwa sana kwenye maisha yako.
Kwani kinakwenda kukupa mikakati na mbinu za kukufanya uwe muuzaji bora kabisa kuwahi kutoka kwenye kile unachouza.
Wewe mwenyewe shahidi Mauzo ndiyo eneo linalogusa kila eneo la maisha,
...ndio maana nakuambia chuo hiki kinaenda kuleta mapinduzi makubwa sana kwenye maisha yako.
Kwani kitakujengea ushawishi mkubwa kwa wengine,
...uweze kuwafanya wakubaliane na wewe kwenye kile unachowataka wafanye.
Huku wakifurahia kufanya kile ambacho umewataka wafanye.
Chuo hiki cha mauzo kina moduli 5 ambazo zimegawanyika kulingana na mchakato mzima wa mauzo unavyokuwa.
Na pia kuna moduli moja ya ziada inayohusu maneno ya ushawishi, maneno ambayo ni muhimu sana kwenye mauzo.
Haya Hapa Ndio Unayoyapata Ndani Ya Chuo Hiki Kikuu Cha Mauzo Tanzania.
SOMO LA KWANZA; Utajifunza maandalizi sahihi unayopaswa kuwa nayo kabla ya kukutana na mteja.
Hapa unajifunza mambo yote muhimu
unayopaswa kukamilisha kabla hujaenda kukutana na mteja unayemlenga.
Bila kukamilisha hayo, hata ukikutana na mteja hutaweza kumuuzia.
Ina maana utaweza kumuuzia yeyote kabla hata hujakutana naye, na hivyo utaongeza kipato chako mara dufu.
SOMO LA PILI; Utajifunza njia za kutumia ili kuwafikia wateja sahihi kwako.
Zama za kusubiri wateja waje kununua zimepitwa na wakati.
Hizi ni zama za kuwafuata wateja walipo na kuwashawishi kununua.
Kwenye somo hii unajifunza njia nyingi za kuwafikia wateja unaowalenga.
Ina maana utapata wateja wengi zaidi na hivyo utaongeza mauzo yako mara 5 zaidi na kuweza kukuza biashara yako
SOMO LA TATU (3); Utajifunza mambo ya kuzingatia pale unapokutana na wateja.
Jinsi unavyokuwa na unavyofanya mbele ya mteja, kunaweza kujenga au kubomoa mauzo.
Somo hii inakufundisha tabia zote muhimu za kujijengea ili uweze kuwashawishi wateja kununua.
Ina maana utaweza kuwashawishi watu wengi zaidi na hivyo watakujua, watakupenda na pia watakuamini.
SOMO LA NNE (4); Utajifunza mchakato kamili wa mauzo.
Hatua kwa hatua za jinsi ya kuyaendea mauzo, kuanzia kumpata mteja tarajiwa mpaka kumgeuza kuwa mteja kamili.
Somo hili ndiyo inakupa kiini kamili
cha mauzo na kukuwezesha kukamilisha mauzo mengi.
Ina maana utaweza kuwashawishi wateja kwa urahisi watoe fedha mfukoni kwao ili walipie bidhaa au huduma zako.
SOMO LA TANO (5); Utajifunza jinsi ya kuwafuatilia wateja baada ya kukamilisha mauzo.
Kumuuzia mteja mara moja ni hasara, kwa sababu unakuwa umeingia gharama nyingi kumpata.
Unapaswa kuendelea kumuuzia mteja ndiyo upate faida.
Somo hili linakupa mbinu za kuendelea
kuwafuatilia wateja ili waendelee kununua na hata kuwaleta wengine nao wanunue.
Ina maana utapata faida mara dufu kwenye biashara yako.
SOMO LA 6; Ambalo ni ya ziada, inahusu maneno ya ushawishi.
Hayo ni maneno ambayo ukiyatumia kwenye mazungumzo yako na wengine, unakuwa na ushawishi mkubwa kwao kuchukua hatua.
Kwenye mauzo, ushawishi ni muhimu, hivyo kuyajua na kuyatumia maneno hayo itakuwa na tija kubwa kwako kuongeza mauzo.
Ukijiunga na chuo hiki sasahivi utaweza kubobea kwenye mauzo,
...na utaweza kufanya mauzo makubwa na ya uhakika mara zote.
Rafiki Yangu Mkubwa,
Habari njema ni kwamba masomo yote 6 yanayopatikana kwenye CHUO KIKUU CHA MAUZO TANZANIA,
...unayapata ndani ya kitabu kimoja kikubwa kipya kinachoitwa *CHUO CHA MAUZO*
Ubaya ni kwamba ukikikosa chuo hiki utaendelea kutaabika sana, kwasababu hutoweza kumuuzia yeyote na mwisho kabisa utaamua kufunga biashara na kibaya zaidi utafilisika.
Uzuri wa kitabu hiki kikubwa kipya cha CHUO CHA MAUZO.
Sasahivi unakipata kwa bei ya nyanya nikimaansha unakipata kwa bei ndogo sana ya TSHS 29,999Tu! Badala Ya Mamilioni Ambayo Ungeyatumia Kukaa Miaka Mitatu (3) Darasani Kujifunza Mauzo.
Nakuhakikishia THAMANI unayoenda kuipata unaenda KUISHANGAZA DUNIA.
Sina wasiwasi na wewe kabisa kwasababu najua ni muelewa sana,
Tuwasiliane kwa kupiga namba hii ya vodacom 0762977170.
Uletewe au utumiwe kitabu hiki popote ulipo ndani na nje ya mipaka ya JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI.
Na kwa mfano ukakisoma na hakijakusaidia kirudishe na HELA YA SODA NITAKUPA NA NAULI.
Kwa hakika utapata mengi sana, ambayo yatakufanya uwe mtaalaam wa mauzo.
Na utaongeza Thamani yako mara dufu.
KUMBUKA; Mwisho Wa OFA Ni Tarehe 30|11|2022.
Tunakupenda Sana.
Karibu Sana.
Namba; 0752977170.
Ni Mimi Rafiki Yako,
Ninayekupenda Na Kukujali Sana.
Bwana Amiri Ramadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|